Saturday, December 6, 2014
Thursday, December 4, 2014
Picha: Alikiba ashoot video mpya Afrika Kusini
Alikiba amesafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kwenda kushoot video mpya.
Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita.
Muhindi MWIZI Mwenye kampuni ya IPTL Asema Hato Kubali Mitambo Hiyo Kutaifishwa na Serekali!
Bilionea na mmiliki wa mitambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Singh Sethi,
amesema hatakubali hata kidogo kutaifishwa mitambo yake ya kuzalisha umeme ya IPTL kama ilivyopendekezwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mjini Dodoma hivi karibuni.
Nini maoni yako juu ya hii kauli yake ?
amesema hatakubali hata kidogo kutaifishwa mitambo yake ya kuzalisha umeme ya IPTL kama ilivyopendekezwa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) mjini Dodoma hivi karibuni.
Nini maoni yako juu ya hii kauli yake ?
Sunday, November 30, 2014
Saturday, November 29, 2014
ESCROW! ESCRO!, NI HATARI!
TUKUBALI tukatae, sakata la fedha kiasi cha Sh. bilioni 306 zilizochotwa kutoka katika Akaunti ya Tegeta Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limeipasua nchi, Risasi Jumamosi limegundua.
HUYU NDO BOSS WA IPTL/ESCROW AMBAYE ANACHEZA MADILI NA VIONGOZI WA SERIKALI ILI KUIHUJUMU NCHI YETU PIA BOSS HUYU NDIYE ALISABABISHA CHAMA CHA KANU NCHINI KENYA KUANGUKA KWENYE UCHAGUZI MKUU BAADA YA BAADHI YA VIONGOZI WA SERIKALI YA KANU KUCHEZA DILI NA HUYU IPTL NA KUIINGIZA MKENGE SERIKALI YA KENYA.
leo hii amehamia Tanzania anakula dili na vigogo wa serikali kuliangamiza taifa umeme umepanda bei kwa ajili ya nguruwe pori huyu akisaidiana na mamba na viboko walioko serikalini.

inasikitisha na inauma sana pale ambapo umeme ulikatika kwenye miji yote ya tanzania kwa muda wa siku 2 wakati suala hili linaendelea bungeni,wapiga debe,machinga na maskini wengine walichanga pesa sehemu mbalimbali mbeya mjini na tukuyu wakanunua mafuta na
kuweka kwenye jenereta ili wawashe tv waone kiama cha wezi wa pesa za escrow lakini cha kusikitisha ni pale wabunge wa ccm wanapoacha majukumu yao na kuanza kuwatetea wezi wa pesa za escrow bila aibu yoyote hakika inauma sana.yani watu wameingiliwa umeme umekatika wanenunua mafuta ili waangalie bunge wabunge wa ccm wanatetea uovu?
ndugu zangu hakika umefika muda wa kufanya maamuzi magumu .
Thursday, November 27, 2014
Muonekano wa Yule Msichana wa Kazi Aliye Taka Kumuua Mtoto wa Boss Wake Baada ya Yeye Kuchezea Kichapo
Huu ndio muonekano wa yule msichana wa
kazi za ndani aliye tenda unyama wa kutaka kumuua mtoto wa bosi wake
atimaye naye amepokea kipigo takatifu cha nusu kufa kutoka kwa wazazi wa
uyo mtoto hii ni moja ya picha zilizo vuja ambazo wazazi wa mtoto
family iyo walizificha.
Unaambiwa haya yote yasingejulikana kama Polisi isingemkamata baba mzazi wa mtoto huyu, yani baba alipoona
Unaambiwa haya yote yasingejulikana kama Polisi isingemkamata baba mzazi wa mtoto huyu, yani baba alipoona
Tuesday, November 25, 2014
Monday, November 24, 2014
Pinda, Werema na Muhongo wataka zigo la Escrow abebeshwe Kikwete!

MOSI:
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond, Edward Lowassa anataka PM Pinda atoke kwa sababu mbili, moja ili njia ya kupata Urais iwe nyeupe lakini pili ili asiwe PM peke yake aliyewahi kujiuzulu kwa tuhuma za rushwa. Watu wake Edward wanahangaika sana kushawishi watu ili azma hii itimie.
Al-Shabaab Wavamia Basi na Kuua Watu 28, Nairobi
Tukio hilo limetokea alfajiri leo saa 11:30 kwenye eneo la Mandera.
Kamishna Msaidizi wa kaunti ya Mandera East, Elvis Korir alisema
Saturday, November 22, 2014
Ushawai Kujiuliza maufundi ya Mpenzi wako kayatoa Wapi?
Sasa linapokuja swala la
Tanzania Imeisha Jamani Ona Hii Kitu Jinsi Wenye Nchi Wanavyogawana Mabilioni ya Fedha Huku Hospitalini Hakuna Dawa

Picha Hapo Juu ikionyesha Mgawanyo wa Fedha.....
Mwee....Hapana sio kila siku ni jumapili .siku nyingine ni ijumaa wakishindwa tutaingia mtaani kudai haki zetu .pamoja na ukawa tunaweza sio kitu ,ushenzi kama huu unatakiwa ukomeshwe ili tufike tnako taka kwenda watu wachache wanagawana hela ya kusambaza madawa nchi nzima huu ni
Kikao Cha Dharula: Kitimoto kwa Wabunge wa CCM Wanaopigia Kelele Escrow

Kikao kinaongozwa na Wasira na Lukuvi,
Wabunge wa ccm wale wanaopiga kelele kuhusu Wizi huu wamewekwa mtu kati,
Kinafanyikia Ikulu ya Dodoma kwa siri
kubwa, hata magari yao yote
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)
.jpg)






.jpg)