button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Wednesday, September 14, 2016

TAMKO LA PAMOJA KATI YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA ASASI ZA KIRAIA KUHUSU MUSWADA WA FAO LA KUJITOA PAMOJA NA HISTORIA FUPI YA SAKATA LA FAO LA KUJITOA


Ndugu Waandishi wa habari , kwanza tunapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru sana kwa namna mnavyoendelea kutupatia ushirikiano katika kutimiza wajibu wetu wa kudai, kulinda na kutetea masilahi ya wafanyakazi wa nchi hii na taifa kwa ujumla. Tunaomba muendelee na moyo huo ili tusaidiane kuijenga

Sunday, September 11, 2016

Fao la kujitoa NSSF, PSPF, GEPF Laleta Utata kwa Wanachama.


WAKATI serikali ikijipanga kuwasilisha bungeni muswada wa sheria kuwabana wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii kujitoa, vyama vya wafanyakazi na asasi za kiraia vimepinga na

Sunday, July 19, 2015

Nuhu Mziwanda Amwita Shilole Asha Ngedere Kisa ni Hiki Hapa

Baada ya Shilole Kusema Amechoka na Nuhu Mziwanda kwa Kuwa Haridhiki na Kuamua Kuwasha Gari ..Nuhu Mziwanda kaupata ujumbe wa Shilole naye akaamua Kujibu Hivi:

Sunday, July 12, 2015

HISTORIA YA MAGUFULI HII HAPA


Chama tawala nchini Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza daktari John Magufuli kuwa mgombea wake

MHE. MAGUFULI AONGOZA KWA ASILIMIA 87 YA KURA ZA MKUTANO MKUU

MATOKEO ya kura za wagombea wa Mkutano Mkuu uliokutana jana usiku ni: Mhe. John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Salum Ali 10% na Dk. Asha-Rose Migiro 3%. Kwa sasa wajumbe wa Mkutano Mkuu wanaingia ukumbini ili kuendelea na kikao chao kilichoahirishwa jana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.

Friday, July 3, 2015

Tohara yafanyika milimani Afrika Kusini!

Vijana wanaotahirishwa
Vijana wanaotahiriwa
Vijana wanaotahirishwa
Mrengo wa vijana katika chama tawala Afrika Kusini{ANC Youth League} umesema

150 wauawa na Boko Haram Nigeria

Watu 150 wameuawa baada ya Boko Haram kuvamia kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Walioshuhudia mashambulizi hayo wanasema watu tisini na saba wameuawa siku ya Jumatano katika kijiji cha Kukawa kilichopo karibu na Ziwa Chad.
Habari zinasema pia

Friday, January 9, 2015

Soma Hii Habari hii ya watoto walioungana kifuani, inasikitisha sana!


Watoto mapacha wa kike waliozaliwa katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo mjini Musoma wakiwa wameungana sehemu ya kifua na tumbo wamefariki dunia jana majira ya saa 9.10 Alasiri.

Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika Yanyakuliwa na Yaya Toule, ambapo ni mala yake ya nne kukanyakua tuzo hiyo!

-
Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa mwaka wa nne mfululizo.Toure mwenye umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Afrika yatakayofanyika baadaye mwaka huu.

Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na golikipa mnigeria Vicent Enyeama. Mwaka jana Toure alikuwa mwaafrika pekee kati ya wachezaji 23 duniani waliotajwa kuwania tuzo ya FIFA ya Ballon D’Or.

Wednesday, December 17, 2014

MWILI WA MTOTO ALIESOMBWA NA MAJI WIKI MBILI ZILIZOPITA APATIKANA LEO.

Katika hali ya simanzi mwili wa mtoto aliepotea takribani wiki mbili zilizopita kwa kusombwa na maji apatikana leo katika mto Mirongo jijini mwanza,

5 Easy Ways to Make Her Horny


Want her to take the initiative next time? Put her in the right mood, and she’ll do the work for you.


As a guy, you’re probably the one who initiates sex in your relationship. It’s not that your girlfriend isn’t in the mood, or doesn’t want as much sex as

Tuesday, December 16, 2014

MACHINGA WA KICHINA BONGO WAENDELEA KUTESA MITAANI BILA KUBUGUDHIWA!Mdogomdogo hawa wachina wanaojifanya ni wamachinga wanaendelea kujazana hapa Tanzania, wakifanya biashara ndogondogo za uzaji wa karanga sigara nk wanaleta taswila tofauti sana, juu ya udhaifu wa serikri yetu ya tanzania. madhara ya kuwakaribisha wahindi hadi wanadiriki kugombea nyadhifa mbalimbali zimeonekana, mojawapo ni ubadhilifu unaofanyika katika nchi yetu kwa asilimia kubwa umehisha watu wa asili ya Bara la ASIA (wahindi na wachina). kwani tanzania inawapa kipaumbele sana kwa kudai wanachangia pato la taifa huku ndo wanaopoteza tanzania! makampuni mengi yanaoongozwa na hawa watu ndo yameongozwa kwa kusamehewa kodi, na wamehusishwa kwenye sakata la ESCROW.

Hizi ni coment za watu mbali mabli kutoka mataifa mbalimbali. N anashangaaaaaaaa

Wednesday, December 10, 2014

Rais Kikwete Kutoa Maamuzi Yanayosubiriwa na Wengi Week Ijayo Kuhusu ESCROW,

UAMUZI juu ya maazimio ya Bunge kuhusu sakata la uchotaji fedha katika Akaunti ya Tegeta Escrow, utatolewa wiki ijayo na Rais Jakaya Kikwete.
Taarifa iliyotolewa Dar es Salaam jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Dar es Salaam jana, ilisema tayari Rais Kikwete amepokea Ripoti ya ukaguzi uliofanywa na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Kwa mujibu wa

Shule ya Prof Tibaijuka yathibitisha kupokea pesa' Kutoka ESCROW.

 

TAARIFA YA BODI YA WADHAMINI WA JOHA TRUST KWA WAZAZI NA UMMA KUHUSU MCHANGO WA SHS BILIONI 1.617 KUTOKA KWA BW. JAMES RUGEMALIRA WA TAREHE 12 FEBRUARI, 2014

1. Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Barbro Johansson Girls’ Education Trust (JOHA TRUST au BARBRO) inatoa taarifa hii kutokana na utata

Katika Picha Hii ya Kikwete na Lowassa Jana Yadhihilisha Wazi Majibu Maswali ya Kuelekea 2015

Kwa picha hiyo jinsi inavyoonekana, inaonekana mzee wa EL na JK watakuwa 'wamecompromise' ili ampigie debe ili apeperushe tiketi ya CCM kwa nafasi ya Urais mwakani.

Hilo likitimia watanzania tutakuwa tunakumbushwa kauli iliyowahi kutolewa na EL wakati ule wa sakata ya Richmond, pale aliposema kuwa yeye na JK hawajakutana barabarani!

JK naye akamjibu mzee EL kuwa asiwe na wasiwasi kwani historia itamtendea haki na ipo siku yeye EL atakuwa 'huru' kutokana na skandali hiyo ya Richmond!

Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.

Saturday, December 6, 2014

Zitto: Aomba Radhi Viongozi Wenzake Ili Arejee CHADEMA

Harufu ya kuisha kwa mgogoro baina ya Zitto Kabwe na chama chake cha Chadema inanukia, lakini mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini anataka kuwapo na mazungumzo kubaini tatizo ili atakayebainika kuwa alifanya makosa awe tayari kuomba radhi hadharani.

Rais JK: Nitaamua kwa Maslahi ya Nchi ila Sishinikizwi!

Nimegundua Jk ni rais ambaye hakika Watz hatutomsahau na hatupaswi kumsahau, ametoa uhuru hata wa kumtukana akakaa kimya,wa kumshinikiza na bado akawa calm,wa kujaribu kuichezea na kuijaribu serikali yake na bado akakuvumilia.