HAYA NDIO MAZINGIRA AMBAYO HUPATIKANA KATIKA WILAYA YA SERENGETI, MUKOANI MARA, NCHINI TANZANIA. HAYA MAENEO NI MAZURI SANA KWA KILIMO CHA MTAMA, MAHINDI, MIHOGO, ILA WATU WA MAENEO HAYA WANAISHI KATIKA HALI UMASIKINI MKUBWA SANA. MAANA WAO HAPATI HUDUMA ZINAZOSTAILI KATIKA JAMII KAMA VILE USAFIRI, HOSPITALI. NK.
No comments:
Post a Comment