Wiki kadhaa zilizopita Kanye West na Kim Kardashian pamoja na mtoto wao, North walikuwa jijini Paris, Ufaransa ambako walihudhuria msululu wa fashion shows.
Miriam na Kim
Miongoni mwa waliokutana na kuongea na familia hiyo maarufu ni super model wa Tanzania, Miriam Odemba aliyekutana na sio tu Kim, bali pia mama yake Kris Jenner na mdogo wake Kendall Jenner.
Miriam akiwa na mama yake Kim, Kris Jenner
“I love you so much @krisjenner your Phenomenal woman it’s was lovely talking with you hope to see you again near future & welcome to Tanzania @krisjennershow Bisous #miriamodemba,” aliandika kwenye Instagram.
Miriam akiwa na mdogo wake Kim, Kendall Jenner (kulia)