button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Saturday, June 27, 2009

leokwetu

jamani hawa wanafunzi wa shule za msingi za vijijini ni jinsi gani ya kufanya ili kuweza kuwasaidia, maana wao kazi wanazozifanya ni kama hizo unavyoziona kwenye hii safu yetu ya leokwetu, serikari yetu itafanyaje ili kuweza kuwasaidia. nafikili kila mtu anajua maisha ya sasa yalivyo lakini pia yatupasa kufilia watoto kama hawa maana haiwezekani kila siku wao ni kusomba maji wakati wa masomo, ingawa tunasema kwamba mtoto lazima aagizwe na mwalimu wake' lakini sio muda wa masomo kama inavyonesha kwenye picha. mimi sijawahi kuona watoto wanaosoma shule katika shule kulipia wanafanya kazi kama hizi, na wakati huo ndio wanaofaulu vizuri kuliko shule za serikari. hivyo basi tutambue ya kuwa watoto kinachowafanya wasifaulu ni kama hivyo inavyonekana, namaanisha yakuwa mazingira wanayosomea ni mazuri ila hayaboreshwi. hii ni shule yamsingi kisaka iliyoko wilaya ya serengeti mkoani mara nchini tanzania

No comments: