Baada ya Safari ndefu ya nchini Oman ambako Bendi Inayotikisa nchini kwa sasa Skylight Band walitoa Burudani ya Nguvu huko ughaibuni na
kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii......
kuacha historia isiyofutika kirahisi, Sasa Bendi yako imerejea nchini Tanzani. Leo Kama kawaida yetu Skylight Band tutakuwa kiwanja cha nyumbani Thai Village kukuletea burudani ya nguvuuu kabisaaaaa ikiwa na kikosi kamili na masong mapyaaaaa,Usikose Leo kuanzia Sa Tatu Kamilii......
Divas wa Skylight Band walisongesha vya kutosha kutoa burudani ya nguvu kutoka kushoto ni Aneth Kushaba, Digna Mbepera na wa mwisho kulia ni Mary Lucos.
Digna Mbepera akizipiga vocal vilivyo.
Hashimu Donode akiimba kwa hisia kaliii kutoa Burudani ya Nguvu
Sam Mapenzi akiimba kwa raha zake kutoa burudani ya nguvuuu kwa mashabiki wake.
Ni Kiafrika zaidi.....mrembo wa Skylight Band Mary Lucos akiwa na furahaaa kubwaaa kuona mashabiki wake wanafurahaaa.
Aneth Kushaba AK47 akiimba kwa hisia kali ndani ya Thai Village Ijumaa ileeeee iliyopita kabla ya kuelekea nchini Oman.
Majembe ya Skylight Band wakiongozwa na Joniko Flower(wa kwanza kushoto) wakiyarudi vilivyo kuwapa burudani mashabiki wao
Sam Mapenzi (wa kwanza kulia) akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) na Joniko Flower (kushoto) wakiyarudi mauno.
Vijana wa kazi wakiendelea kupiga mzigooo.
Baba ya Congo Joniko Flower akiongoza mashambulizi
Daudi Tumba kwa rahaaa zake akichezea Tumbaaaa
Tophy Bass akilicharaza Bass Gitaa vilivyooooo.
Idrissa akizicharanga Drums zake kwa rahaaa kabisaaaaaa
Mpiga Solo wa Skylight Band Joshua akizicharazaaaa nyuziiii.
Rahaaaa sana ukipewa burudani na Skylight band Aneth Kushaba akiwaimbisha mashabiki wake!
Mose Kinanda akizipiga ala vilivyooooooo.
Tophy Bass akimuonesha Mary Lucos Jinsi anavyolicharaza Bass Gitaa lakeeee
Aneth Kushaba Mzuka Ukampandaa akaamua kwenda kucheza na mashabiki wake.
Mashabiki wakijirusha kwa rahaaa zaooo
Rahaaa kabisa kila unapokutana na burudani toka Skylight Band
Haya sasa wale wa mduaraaaa haoooo kwa rahaaa zaoo
Hapooo kati sasa ni viuonooooo viunoooooo
Blogger Hussein akiwa na wa ubani wake wakipata ukodak wa nguvuuuu,