
Mdogomdogo hawa wachina wanaojifanya ni wamachinga wanaendelea kujazana hapa Tanzania, wakifanya biashara ndogondogo za uzaji wa karanga sigara nk wanaleta taswila tofauti sana, juu ya udhaifu wa serikri yetu ya tanzania. madhara ya kuwakaribisha wahindi hadi wanadiriki kugombea nyadhifa mbalimbali zimeonekana, mojawapo ni ubadhilifu unaofanyika katika nchi yetu kwa asilimia kubwa umehisha watu wa asili ya Bara la ASIA (wahindi na wachina). kwani tanzania inawapa kipaumbele sana kwa kudai wanachangia pato la taifa huku ndo wanaopoteza tanzania! makampuni mengi yanaoongozwa na hawa watu ndo yameongozwa kwa kusamehewa kodi, na wamehusishwa kwenye sakata la ESCROW.
Hizi ni coment za watu mbali mabli kutoka mataifa mbalimbali. N anashangaaaaaaaa
No comments:
Post a Comment