mbalimbali.
PICHA ZAIDI ENDELEA
Mr Blue akiimba na mashabiki
Fiesta ambayo ni kwa mara ya kwanza kutoa buruduani Geita ilijumuisha burudani kutoka kwa wasanii kama Linah, Ommy Dimpoz, Recho, Khadija Maumivu, Young Killer Msodoki, Mr Blue, Stamina, Chege na Temba pamoja na Nay wa Mitego.
Fid Q akiwa na mchumba toka Geita
Full shangwe
Linah akitimiza ndoto za kijana wa Geita
Nick wa Pili akifanya yake
Ommy Dimpoz akifanya yake
Barakah Da Prince
Recho
Stamina
Young Killer
No comments:
Post a Comment