Vijana wanaotahiriwa
Mrengo wa vijana katika chama tawala Afrika Kusini{ANC Youth League} umesema
unapanga kufanya sherehe ya tohara ya kitamaduni kwenye milima maalum.
Shirika la Turathi la Umoja wa Mataifa{UNESCO} limetangaza eneo hilo la "Table Mountains" kuwa turathi kwa sababu kuna mimea ya kipekee. Kuna aina elfu tano ya mimea kwenye milima hiyo.
null
Vijana wa ANC wanataka kufanya sherehe ya tohara milimani
Taarifa ya vijana hao wa ANC jimbo la Western Cape imesema hakuna arthi ya kufanyiwa tohara ya utamaduni. Haijabainika ikiwa watapata idhini kuendesha shughuli hiyo.
SOURCE: BBC
No comments:
Post a Comment