Kabla ya kuanza kwa show ya Serengeti Fiesta 2014 October 18 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam wasanii na wadau mbalimbali walipiga pozi backstage ili kujiandaa na show.
Tazama wasanii mbalimbali
na watu wengine walivyotokeza kwenye camera ya Bongo5.Waje katika pozi
Weusi