Wasanii wa muziki wa kimataifa rapper T.I., Davido, Waje, Patoraking na Victoria Kimani wamezungumza na waandishi habari mbele ya show ya Serengeti Fiesta Dar es Salaam. Tazama picha.
T.I akizungumza na waandishi wa habari
Wakizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa hoteliya Sea Cliff jijini Dar es Salaam wasanii wao kila mmoja alitoa ahadi ya kufanya show nzuri.