Ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja toka wimbo wa ‘Umebadilika wa Young
Killer Msodoki ulipoachiwa July 22, rapper huyo kutoka jiji la miamba
(Rock City) Mwanza ameanza kushoot video ya wimbo huo
aliomshirikisha
Banana Zorro.
Histry..beybiiii #UMEBADILIKA … Cc @hefemi @mxcarter – Young Killer
Safari hii Msodoki amemkabidhi director Hefemi Mikoba ya kuiongoza
video hiyo. Kupitia Instagram rapper huyo wa ‘Dear Gambe’ ameshare picha
akiwa location maeneo ya ufukweni na kuandika: #VIDEO With. .my..big brother @hefemi & @mxcarter.
Msodoki na Hefemi wakiwa location
No comments:
Post a Comment