Ommy Dimpoz akicheza na binti wa Shinyanga
Wasanii waliotumbuiza kwenye show hiyo iliyoanza saa nne za usiku ni pamoja na
Nay wa Mitego, Ommy Dimpoz, Recho, Linah, Fid Q, Stamina, Young Killer, Khadija Maumivu, Mr Blue pamoja na Chege na Temba.
Full Shangwe Shinyanga
Katika hatua nyingine usiku huo ulikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Ommy Dimpoz hali ambayo ilimfanya afanye show huku akiwa na mzuka wa hali ya juu.
Barakah Da Prince akiimba na wakazi wa Shinyanga
Burudani
DJ Fetty akisherehekea Serengeti Fiesta 2014 akiwa nyumbani kwao Shinyanga
Chege
Linah akipanda juu ya jukwaa
Temba na Chege
Linah
Mr Blue
DJ Fetty
Ice Boy akiwa na Young Killer
Khadija Maumivu
Nay wa Mitego akiwa na Stamina
Ommy Dimpoz akiwa na mtoto wa Shinyanga
No comments:
Post a Comment