Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi
toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli
alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na
yy huwa ananiita mtani.
Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki
mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na
mmoja anafanya kazi dar.
Toka mwezi huu uanze ameanza
kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani
mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.
Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini
kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango
tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha
kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia
niwashe TV nikawasha.
Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani
na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana
sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya
ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda
huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha
ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika
masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia
leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya?
nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana
ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi
mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.
Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?
Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama
mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa
nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.
wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.
nifanyeje