Kwa Mwananchi wa Kawaida kama mimi na
wewe unataka tupewe nini tuweze kujua kwamba vurugu alizoletewa Mh.
J.Sinde Warioba ni mpango wa Chama Tawala?. Ni wazi hao ndiyo
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya
mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.