button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Friday, October 31, 2014

Wananchi wachoma jengo la bunge na kuvamia ikulu nchini Burkina Faso



Waandamaji wenye hasira nchini Burkina Faso wamelichoma moto jengo la bunge kufuatia 
mipango ya Rais Blaise Compaore kutaka kurefusha kipindi chake cha utawala uliodumu kwa miaka 27.




Mamia ya watu walivuka ulinzi mkali katika jengo la bunge katika mji mkuu Ouagadougou, ambapo walichoma moto magari kabla ya kukivamia kituo cha runinga cha serikali na kisha ikulu.
 
Mtu mmoja aliuawa katika vurugu hizo zilizozuka muda mfupi kabla ya wabunge kupigia kura sheria ambayo ingemwezesha Compaore — aliyeingia madarakani mwaka 1987 kwa mapinduzi kugombea tena nafasi hiyo.

No comments: