Miaka 44 aliyonayo Mariah Carey haimzuii, mama huyo wa watoto wawili kujiachia jukwaani na kuwapa fahari ya macho wanaume wanaotamani tu kuona umbo lake. Katika ziara yake ya barani Asia, Mariah ameendelea kuonesha kuwa ujana ungali upo ndani yake. Tazama picha hizi wakati akitumbuiza kwenye uwanja wa soka wa Hongkou huko Shanghai, China jana Jumapili. Mapaja nje nje!
No comments:
Post a Comment