button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Wednesday, December 10, 2014

Katika Picha Hii ya Kikwete na Lowassa Jana Yadhihilisha Wazi Majibu Maswali ya Kuelekea 2015

Kwa picha hiyo jinsi inavyoonekana, inaonekana mzee wa EL na JK watakuwa 'wamecompromise' ili ampigie debe ili apeperushe tiketi ya CCM kwa nafasi ya Urais mwakani.

Hilo likitimia watanzania tutakuwa tunakumbushwa kauli iliyowahi kutolewa na EL wakati ule wa sakata ya Richmond, pale aliposema kuwa yeye na JK hawajakutana barabarani!

JK naye akamjibu mzee EL kuwa asiwe na wasiwasi kwani historia itamtendea haki na ipo siku yeye EL atakuwa 'huru' kutokana na skandali hiyo ya Richmond!

Bila shaka hii picha itakupa majibu ya maswali uliyo kua nayo kichwani mwako.....yetu macho na masikio kuelekea octoba 2015.

No comments: