Big Brother Africa inaelimisha nini jamii ya kiaftrica unaweza ongeza comment zaidi.
Comment by wakuvanga on August 25th, 2008 2:51 am
Jamani hiyo bigi brother ni uchafu gani unafanyika huko au ni sifa gani tunaipata Watanzania kwa kuuza sura zetu. Kamwe wewe dada usiende kufanya mambo ya huyo kijana aliyoyafanya kitambo kilichopita
Comment by John Mongi on August 25th, 2008 2:59 am
Huyu dada kweli mzuri ila atatia aibu tu huko, ni heri aende mwanaume .
Comment by BLACKMANNEN on August 25th, 2008 2:59 am
Heeeeee, Binti weye, haya! Kama inavyojulikana Tanzania ndiyo kisima pekee duniani kizalishacho mabinti wazuri. Ni mategemeo yetu sisi Watanzania kukuona wewe Latoya ukirudi na taji la ushindi kama walivyofanya Watanzania wenzako Mwampambe na Richard. Busara zako na matendo yako ndani ya jumba hilo, ndiyo yatakayokupa ushindi. Siri ya ushindi ni kuwa na tabia yako halisi, usiazime tabia ya mtu, yatakushinda. Usiogope kufanya kile ambacho wewe hukifanya nje ya jumba hilo. Najua wengi watakupa ushauri wao ambao wao wanataka uwe, usiwasikilize, kila mtu na tabia yake, ufuate moyo wako unavyokwambia kitu cha kufanya. Kama watazamaji hawatapenda, basi na iwe hivyo! Lakini mimi na kila mtanzania, tunakutakia kila la kheri Latoya, urudi na ushindi. Blackmannen
Latoya umetia aibu siku ya kwanza tayali kinywaji kimekuchanganya na kujitosa kwa dume ulilokutana nalo masaaa!
Comment by John Mongi on August 25th, 2008 3:10 am
Kweli hata mimi siwaelewi ndugu zangu , kumbe shombe shombe mali??????????? ngozi ya goti(weusi) mbona hawachaguliwi ama ndio weupe weupe tu??????? ama weupe ndio wanaweza kuongea kingereza peke yao? haya bwana ngoja magorila (weusi) wabaki kiingereza chao yes yes , no, no kila la heri mrembo ila upige mswaki meno hayo dada, kutu hiyo!!!!!! sizani kama unajipya zaidi ya kugawa uroda huko. kwani wabongo starehe mbele na ndio ushindi wao. kila la heri
Tanzania siyo nchi ya kupeleka mtu kujifunza Kufanya NGONO south africa,Kuweni wazalendo,jua akishindwa ina maana dada zetu awajui KUFANYA NGONO !!! shindano hili focus yake kubwa ni kuigiza ya adam na Hawa simply means NGONO !!!mbaya zaidi ni ngono ZEMBE,hakuna matumizi ya condom,maana mnatengwa ili muishi kama mke na mume. Tanzania bado inanafsi kubwa ya kuendeleza vipaji kibao vya michezo,suala hili naomba mwenye akili timamu asishabikie kabisa,nashangaa hata vyombo vya dini vimetulia tu !! Nimepe mail adress nikutumia PICHA za AIBU ZA RICHARD ili ujue hasa huyu dada anakwenda kufanya nini , Mail yangu ni ,ellyjose@yahoo.com
hahahahahahahahaha jamani sina mbavu hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa teteteteteteteteeeeeeeeeeeeeeeeeeee wewe Juma mhando unamshawishi akaoneshe kitchen party za ilala na Magomeni kule hahahahaha!
Who care kwamba anaishi A-Town? who care aliwai fanya nini?? Mi na care,kitendo cha kwenda kufundishwa UFUSKA kwa kulipwa ujira !!! dont care kama ni mdogo au mkubwa. pia na care suala la utaifa !!! eti Tanzania inajiwakilisha kwenye shindono la UFUSKA !!!Noma babu, komaa kuwa mzalendo !!michezo iko mingi,akitaka aende kimpango wake na siyo abebe bendara au jina la Tanzania.
Comment by Matty on August 28th, 2008 9:55 am
no 61 na wewe na kiswanglish chako mhhh tutafika!
Comment by Matty on August 28th, 2008 9:56 am
no 61Sorry pls i mean no 68.!
Comment by msema kweli on August 28th, 2008 11:23 am
nyinyi watanzania mnachekesha sana.. who said big brother ni ngono, kuuza utu etc just for money. Big brother is a program that is very famous here were i am. whatever a person decides to do on big brother,thats how they are like in real life. huyo richard,inaelekea hiyo pia ni tabia yake. mtu huweza kujicontrol,if you cant control yourself those are the consequences. its a reality show,wich is like a challenge: can you live with strangers?can you share bathrooms?can you live without your mobile phone,tv,etc?
Comment by michelle on August 29th, 2008 1:28 am
BC sijui unakatabia kakukata maoni ya watu wengine kuna watu hutoa maoni hata ya maneno machafu na unayaweka humu wengine sisi tukitoa ukweli una mute, maoni yangu umeyatoa sasa hivi tukwani sasa? tafadhali naomba yarudishe acha zili mambo bwana!!!!!!!!!!
Comment by levina on August 29th, 2008 4:47 am
What i think is that we should not focus on excuting Latoya but rather support her in the best way needed. Remember, this is the fisrt time we have a lady representative in the house. Lets hope that she will make it to the best like how Richard & Mwisho did & more. However, the whole issue of the colour, YES! i also think it should be given a thought. may be the “shombeshombe” thing and their manners is true, but have we tried the true black “goti” african colors manners, may be they would bring agreat positibe better impact, WHO KNOWS!!!
we no 74 unaongea nini?? Bb3 ni fomous in what sense??alafu kuwa hapo south unaona big deal ?? au unaona tv program kuwa fomous hapo manzese basi ni issue kwa wabongo?? Unasababu zipi za msingi za ku share bathroom na stranger kama siyo msukumo wa hela?? Hakuna kiumbe aliyezaliwa na simu mkononi,kwa hiyo kuishi bila sim wala hiyo siyo big issue vilevile.bibi yako ana simu wewe??pengine naenda mbali kwa bibi,baba yako ana sim wewe?? si tumefanya kazi makampuni makubwa ya Tv,hakuna tv program isiyo na muongozo hata siku moja,labda iyo ya bb3. kwahiyo washiriki wanfanya kufuata muongozo,bila muongozo uta air out vipi kipindi wewe?? unajua kweli unachoongea??FYUUUUUUUUUUUUUUUU
Comment by binti-mzuri on August 29th, 2008 11:27 am
dah,nomarlly siingiliagi personal opinions,but somehow i see ‘msema kweli’s point.. hasa kutokana na comment yako wewe Lukamba no. 71 .. hivi nyie mkipewa $100,000 mtakataa?mnajua mtanzania akishinda hizo pesa,pia inaongeza uchumi,kama atarudi nazo huku. halafu tusiwe quick kujudge kwamba ni shindano la ufuska..mi sijaona big brotha zingine za africa zaidi ya ile big brotha ya mwisho mwampamba… kwani alifanya nini cha ajabu. tabia ni ya mtu bwana..hata mlokole angeweza kupelekwa… you choose what you want to do..msiihukumu tu. bongo ndio maana tunashikaga mkia kwenye maendeleo..mnakazaniaga mambo ya mababu zenuuu tuuu,haya yamewapeleka wapi?hata kwenye mashindano ya ngoma hamshindagi. theres so much negativity in tanzania,and a lot of know-it-alls. habari ndo hiyoooo….sio muhtasari huoo..ni full news cnn!
Comment by matty on August 30th, 2008 2:46 am
mhhhh ndugu wananchi ninalazimika kusema kuwa zama za ukweli na uwazi muacheni latoya afanye alichoendea as long as hamkujitokeza ninyi kuiwakilisha TZ sasa bwabwaja za nini??? haya…. swali la nyongeza hivi ashinde asishinde wananchi mnafaidikaje??? Give her a beak plssssssssssss!
Jamani jamani jamani this is a reality program kama zingine. Housemates are made to live their lives in the open. Mi nazipenda coz unaona true colours za watu…chuki, back-biters, urafiki, usaliti, obviously mapenzi, name it! U see how people can be positively/negatively influenced by others etc.Nina uhakika wanaoponda hii kitu they do even worse katika uficho. Ndo ambao wanaishi kwenye siri hadi mkewe akishika simu yake ananaswa kibao. Kwa asiyeipenda halazimishwi kuangalia na hata mzazi unaweza ku-restrict watoto kuangalia by parental control option kwenye decoder. Kwani ngono tu ndo mmeona? Mbona wafanya vitu vingine tu vizuri kama kutangaza their respective countries etc. Dada wa watu mmemsema wee mara shombe mara kajichubua sasa which is which. Kuna watu wanamfahamu kuwa ni mchaga wanajua hadi kwao. Kwani wachaga kuwa mweupe haimo? Ina maana sisi weupe sio waafrica/watanzania? Jamani mnakuwa na chuki binafsi hata kwa mtu msiemfahamu? Kwani hizo nywele si kashonea au mtanzania halisi inabidi awe kipilipili/kipara? Stop hating jamani kwa mnaoweza support her kwa kura zenu ashinde then akimaliza mumfuate mtoe maadili yenu yatamsaidia baadae ebo!
Comment by BLACKMANNEN on August 30th, 2008 11:42 am
He he he heee Beautiful-Binti=binti-mzuri, hapo umesema kweli dadaangu, na watu katika kila mashindano wanaingia katika kinyang’anyiro cho chote kwa madhumuni maalum, kujulikana ama kutajirika. Mambo ya maadili ni jinsi mtu alivyolelewa na jinsi alivyo na tabia yake, akiwa yeye mwenyewe nje. Wewe binti-mzuri unayo tabia ya kwako ambayo unaiona ni nzuri na mimi “Black” ninayo ya kwangu ambayo mimi naiona ni nzuri, sio lazima nikulazimishe ufanane tabia yako na yangu. Ushindi wa watu hawa katika kinyang’nyiro hicho na hasa “Bigbrother” ni wa kwao wao washiriki wa shindano hilo, na wala si nchi isijisifie ushindi huo, kwa sababu nchi haitupi malezi ya aina hiyo, anayokuwa nayo mshiriki wetu katika jumba hilo la “Bigbrother”. This Is Black=Blackmannen
wewe latoya cha kuonesha uchi wako waziwazi ndo nini,any way 2umeishakuzoea. lakini mi naona bado wa2 hawakujui vizuri sooon wataona vi2uko vyote na sijui utarudije nyumbani hadi nakuonea huruma dada wewe. lakini 2upe flavour 2upate uhondooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Blackmanem worry not wala sijawa ofended hata kidogo…Nashangaa watu wanaosema yeye ni shombe ni kwa sababu ya weupe wake au? Maana mimi ushombe sijauona na kuna watu wamejitokeza kusema ni mchaga pure. Was wondering if whoever is light skined ni shombe ili tuanze ku-trace origin zetu hahaha…otherwise Peace iko pale pale usijali!
Comment by Mr.KT on September 2nd, 2008 4:02 am
Hivijamani, mshajiuliza kwanini kila BBA nchi zinzoshiriki ni zile zile?? Vipi kuhusu SUDAN, EGYPT, ETHIOPIA,MALI,ALGERIA,MORROCO,LIBYA,MOZAMBIQUE,CHAD,IVORY COAST,SIERRA LEONE,ERITREA,SOMALIA,NIGER n.k?? JIULIZENI mbona nchi ni zile zile kila siku?? ukipata jibu utajua BBA ni shindano la aina gani,nchi makini na zenye viongozi makini ambao hawako brainwashed, watu walio na uelewa,na kuthamini utu wao–haziwezi kuruhusu huu upuuzi.
wazima wapenzi, huyu binti ukimuona tu unahisi kuchanganyikiwa maana anaonekana lazima ataharibu tu, anaonekana (ANAKAUPROSTITUTE), anaweza akatoka wa kwanza kwenye jumba lile.(I DONT BELV… HER KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Comment by dina on September 2nd, 2008 10:22 am
Kama maoni yangu yangekuwa yanamfikia, I would beg her to be focused basi, kwa sababu for now anaonekana ana papara na hana msimamo na hajui anataka nini. Whenever I watch BBA III, I crosses my fingers na kujisemea…Mungu wangu sijui atafanya nini cha ajabu leo?!!! Anyways wapendwa, we seems to be concerned, lakini hamna kinachoweza kubadilika kwa sasa, already she is in the house! And everybody who watch BBA III, when you speak of TZ basi wanamuona bibie, tunalo? Wenye lugha yao wanasema ‘we are caught by the……’ Ila laiti BBA III wangetusaidia hizo hela kwa ajili ya kutengeneza barabara ya kuingilia uswahilini kwetu mbona wangekuwa wametuokoa! Mmh hapa lazima watu waniambie niende Wizara ya miundo mbinu….Jamani ni dreamz tu….
Watu jamani acheni wivu, huyo binti anacheza tu mchezo, kumbukeni kuwa its a Game, and she is there to win the money . So kama hakuvutii then just change the chanel, no one is forsing you to watch it. Maneno mengine mnayoandika ni machafu, je nyie mnafundisha nini jamii? Kumbukeni kuwa LATOYA ana WAZAZI!!!!!!!!!!!!!
Comment by Mama wa Kichagga on September 4th, 2008 8:58 pm
Mmmmmmmmmm watu kwa kujadili na kuwatolea wenzenu maamuzi hamjambo! Hivi kama kila mtu angeishi kulingana na mashauri wanayowapa wengine si Bongo yetu ingekuwa tambararee? Tupunguze kuchonga jamani na tuwape watu nafasi na pumzi ya kuishi wapendavyo hata kama hatutaki. Tuzuie kulaani na kuwatolea wenzetu hukumu kwani hakuna mwenye dhamani hiyo hapa duniani. Bora watu wapewe live wakome kuchonga chonga hasa wale wanaoamini wachaggaa ooooooooooo wachovu oneni live basi! Haaaaaaaaaaaaa mpaka ashinde au atolewe kwenye hilo jumba kuna watu zitawatoka nyongo hapa. Mimi simo kila kitu kwangu mswano tuu ni aina ya mchezo!
Comment by retistuta on September 7th, 2008 6:16 am
jamani watanzania tutaacha kufanya makosa mpaka lini ,huyu latoya si mtanzania ni mkenya mbona watu tunamjua. kwenye miss tanzania nia pia yule nasreen mama yake ni mkikuyu wa kenya na baba yake anatoka morogoro, kwahiyo hata sio mtu wa mwanza kama watu wa mwanza wanavyofikiria. mwakilishi wa mkoa wa mwanza halisi alikuwa ni angella lubala kwasababu baba yake na mama yake wote ni wasukuma wa mwanza. lakini mbali ya yote turudi kwa latoya,tafadhali naomba watu mfatilie hili,tumechemsha jamani huyu baba yake ni mkenya na mama ni mchaga.lakini kwa baba siku zote ndio kwenye nguvu. silumbani na mtu yoyote kwani huwo ndiop ukweli
Comment by mzalendo on September 9th, 2008 10:53 am
Retistuta, shame on you! kwanini kuprint uongo, kama jambo hulijui si uulize upatiwe majibu. Nyie ndo wale wanga wa mchana lo, huna hata aibu? Asante sana Mama wa Kichagga, msapotini mshiki o Mashati Rombo….! Baba Mrombo na Mama( Marehemu for more than 10yrs) Mmarangu. Mi naangalia maoni wa Nnchi zingiwe na wanafagilia Latoya vizuri tu, acheni wivu jamani….! Yaani Wananchi wenzake ndo mnamwangusha….! si mngeenda nyie mnajua basi au watanzania original? kwani fomu za appl si zilikuwapo multchoise? Mbona hamkuzichukua kama nyie ni Malaika?
Comment by retistuta on September 10th, 2008 4:50 am
Na wewe mzalendo nenda zako,unajifanya unamjua sana latoya,na sisi tuna mjua vilevile ndio maana tumechangia maoni. Halafu mkiwa mnachangia hoja please andikeni majina yenu halisi kama tunavyofanya sisi. sio unakosoa watu tu huku una jiita mzalendo.weka wazi jina lako kusudi hata huyo latoya ajue kama kuna mtu anajifanya anamjua saaaana.
Jamani hiyo bigi brother ni uchafu gani unafanyika huko au ni sifa gani tunaipata Watanzania kwa kuuza sura zetu. Kamwe wewe dada usiende kufanya mambo ya huyo kijana aliyoyafanya kitambo kilichopita
Huyu dada kweli mzuri ila atatia aibu tu huko, ni heri aende mwanaume .
Heeeeee, Binti weye, haya! Kama inavyojulikana Tanzania ndiyo kisima pekee duniani kizalishacho mabinti wazuri. Ni mategemeo yetu sisi Watanzania kukuona wewe Latoya ukirudi na taji la ushindi kama walivyofanya Watanzania wenzako Mwampambe na Richard.
Busara zako na matendo yako ndani ya jumba hilo, ndiyo yatakayokupa ushindi. Siri ya ushindi ni kuwa na tabia yako halisi, usiazime tabia ya mtu, yatakushinda. Usiogope kufanya kile ambacho wewe hukifanya nje ya jumba hilo.
Najua wengi watakupa ushauri wao ambao wao wanataka uwe, usiwasikilize, kila mtu na tabia yake, ufuate moyo wako unavyokwambia kitu cha kufanya. Kama watazamaji hawatapenda, basi na iwe hivyo!
Lakini mimi na kila mtanzania, tunakutakia kila la kheri Latoya, urudi na ushindi.
Blackmannen
Latoya umetia aibu siku ya kwanza tayali kinywaji kimekuchanganya na kujitosa kwa dume ulilokutana nalo masaaa!
Kweli hata mimi siwaelewi ndugu zangu , kumbe shombe shombe mali??????????? ngozi ya goti(weusi) mbona hawachaguliwi ama ndio weupe weupe tu??????? ama weupe ndio wanaweza kuongea kingereza peke yao?
haya bwana ngoja magorila (weusi) wabaki kiingereza chao yes yes , no, no
kila la heri mrembo ila upige mswaki meno hayo dada, kutu hiyo!!!!!!
sizani kama unajipya zaidi ya kugawa uroda huko. kwani wabongo starehe mbele na ndio ushindi wao.
kila la heri
Tanzania siyo nchi ya kupeleka mtu kujifunza Kufanya NGONO south africa,Kuweni wazalendo,jua akishindwa ina maana dada zetu awajui KUFANYA NGONO !!! shindano hili focus yake kubwa ni kuigiza ya adam na Hawa simply means NGONO !!!mbaya zaidi ni ngono ZEMBE,hakuna matumizi ya condom,maana mnatengwa ili muishi kama mke na mume.
Tanzania bado inanafsi kubwa ya kuendeleza vipaji kibao vya michezo,suala hili naomba mwenye akili timamu asishabikie kabisa,nashangaa hata vyombo vya dini vimetulia tu !!
Nimepe mail adress nikutumia PICHA za AIBU ZA RICHARD ili ujue hasa huyu dada anakwenda kufanya nini ,
Mail yangu ni ,ellyjose@yahoo.com
Who care kwamba anaishi A-Town? who care aliwai fanya nini??
Mi na care,kitendo cha kwenda kufundishwa UFUSKA kwa kulipwa ujira !!! dont care kama ni mdogo au mkubwa.
pia na care suala la utaifa !!! eti Tanzania inajiwakilisha kwenye shindono la UFUSKA !!!Noma babu,
komaa kuwa mzalendo !!michezo iko mingi,akitaka aende kimpango wake na siyo abebe bendara au jina la Tanzania.
no 61 na wewe na kiswanglish chako mhhh tutafika!
no 61Sorry pls i mean no 68.!
nyinyi watanzania mnachekesha sana.. who said big brother ni ngono, kuuza utu etc just for money. Big brother is a program that is very famous here were i am. whatever a person decides to do on big brother,thats how they are like in real life. huyo richard,inaelekea hiyo pia ni tabia yake. mtu huweza kujicontrol,if you cant control yourself those are the consequences. its a reality show,wich is like a challenge: can you live with strangers?can you share bathrooms?can you live without your mobile phone,tv,etc?
BC sijui unakatabia kakukata maoni ya watu wengine kuna watu hutoa maoni hata ya maneno machafu na unayaweka humu wengine sisi tukitoa ukweli una mute, maoni yangu umeyatoa sasa hivi tukwani sasa? tafadhali naomba yarudishe acha zili mambo bwana!!!!!!!!!!
What i think is that we should not focus on excuting Latoya but rather support her in the best way needed. Remember, this is the fisrt time we have a lady representative in the house. Lets hope that she will make it to the best like how Richard & Mwisho did & more.
However, the whole issue of the colour, YES! i also think it should be given a thought. may be the “shombeshombe” thing and their manners is true, but have we tried the true black “goti” african colors manners, may be they would bring agreat positibe better impact, WHO KNOWS!!!
we no 74 unaongea nini?? Bb3 ni fomous in what sense??alafu kuwa hapo south unaona big deal ?? au unaona tv program kuwa fomous hapo manzese basi ni issue kwa wabongo??
Unasababu zipi za msingi za ku share bathroom na stranger kama siyo msukumo wa hela??
Hakuna kiumbe aliyezaliwa na simu mkononi,kwa hiyo kuishi bila sim wala hiyo siyo big issue vilevile.bibi yako ana simu wewe??pengine naenda mbali kwa bibi,baba yako ana sim wewe??
si tumefanya kazi makampuni makubwa ya Tv,hakuna tv program isiyo na muongozo hata siku moja,labda iyo ya bb3.
kwahiyo washiriki wanfanya kufuata muongozo,bila muongozo uta air out vipi kipindi wewe?? unajua kweli unachoongea??FYUUUUUUUUUUUUUUUU
dah,nomarlly siingiliagi personal opinions,but somehow i see ‘msema kweli’s point.. hasa kutokana na comment yako wewe Lukamba no. 71 .. hivi nyie mkipewa $100,000 mtakataa?mnajua mtanzania akishinda hizo pesa,pia inaongeza uchumi,kama atarudi nazo huku.
halafu tusiwe quick kujudge kwamba ni shindano la ufuska..mi sijaona big brotha zingine za africa zaidi ya ile big brotha ya mwisho mwampamba… kwani alifanya nini cha ajabu. tabia ni ya mtu bwana..hata mlokole angeweza kupelekwa… you choose what you want to do..msiihukumu tu. bongo ndio maana tunashikaga mkia kwenye maendeleo..mnakazaniaga mambo ya mababu zenuuu tuuu,haya yamewapeleka wapi?hata kwenye mashindano ya ngoma hamshindagi. theres so much negativity in tanzania,and a lot of know-it-alls. habari ndo hiyoooo….sio muhtasari huoo..ni full news cnn!
mhhhh ndugu wananchi ninalazimika kusema kuwa zama za ukweli na uwazi muacheni latoya afanye alichoendea as long as hamkujitokeza ninyi kuiwakilisha TZ sasa bwabwaja za nini??? haya…. swali la nyongeza hivi ashinde asishinde wananchi mnafaidikaje???
Give her a beak plssssssssssss!
Jamani jamani jamani this is a reality program kama zingine. Housemates are made to live their lives in the open. Mi nazipenda coz unaona true colours za watu…chuki, back-biters, urafiki, usaliti, obviously mapenzi, name it! U see how people can be positively/negatively influenced by others etc.Nina uhakika wanaoponda hii kitu they do even worse katika uficho. Ndo ambao wanaishi kwenye siri hadi mkewe akishika simu yake ananaswa kibao. Kwa asiyeipenda halazimishwi kuangalia na hata mzazi unaweza ku-restrict watoto kuangalia by parental control option kwenye decoder. Kwani ngono tu ndo mmeona? Mbona wafanya vitu vingine tu vizuri kama kutangaza their respective countries etc.
Dada wa watu mmemsema wee mara shombe mara kajichubua sasa which is which. Kuna watu wanamfahamu kuwa ni mchaga wanajua hadi kwao. Kwani wachaga kuwa mweupe haimo? Ina maana sisi weupe sio waafrica/watanzania? Jamani mnakuwa na chuki binafsi hata kwa mtu msiemfahamu? Kwani hizo nywele si kashonea au mtanzania halisi inabidi awe kipilipili/kipara? Stop hating jamani kwa mnaoweza support her kwa kura zenu ashinde then akimaliza mumfuate mtoe maadili yenu yatamsaidia baadae ebo!
He he he heee Beautiful-Binti=binti-mzuri, hapo umesema kweli dadaangu, na watu katika kila mashindano wanaingia katika kinyang’anyiro cho chote kwa madhumuni maalum, kujulikana ama kutajirika.
Mambo ya maadili ni jinsi mtu alivyolelewa na jinsi alivyo na tabia yake, akiwa yeye mwenyewe nje. Wewe binti-mzuri unayo tabia ya kwako ambayo unaiona ni nzuri na mimi “Black” ninayo ya kwangu ambayo mimi naiona ni nzuri, sio lazima nikulazimishe ufanane tabia yako na yangu.
Ushindi wa watu hawa katika kinyang’nyiro hicho na hasa “Bigbrother” ni wa kwao wao washiriki wa shindano hilo, na wala si nchi isijisifie ushindi huo, kwa sababu nchi haitupi malezi ya aina hiyo, anayokuwa nayo mshiriki wetu katika jumba hilo la “Bigbrother”.
This Is Black=Blackmannen
wewe latoya cha kuonesha uchi wako waziwazi ndo nini,any way 2umeishakuzoea. lakini mi naona bado wa2 hawakujui vizuri sooon wataona vi2uko vyote na sijui utarudije nyumbani hadi nakuonea huruma dada wewe. lakini 2upe flavour 2upate uhondooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Blackmanem worry not wala sijawa ofended hata kidogo…Nashangaa watu wanaosema yeye ni shombe ni kwa sababu ya weupe wake au? Maana mimi ushombe sijauona na kuna watu wamejitokeza kusema ni mchaga pure. Was wondering if whoever is light skined ni shombe ili tuanze ku-trace origin zetu hahaha…otherwise Peace iko pale pale usijali!
Hivijamani, mshajiuliza kwanini kila BBA nchi zinzoshiriki ni zile zile?? Vipi kuhusu SUDAN, EGYPT, ETHIOPIA,MALI,ALGERIA,MORROCO,LIBYA,MOZAMBIQUE,CHAD,IVORY COAST,SIERRA LEONE,ERITREA,SOMALIA,NIGER n.k?? JIULIZENI mbona nchi ni zile zile kila siku?? ukipata jibu utajua BBA ni shindano la aina gani,nchi makini na zenye viongozi makini ambao hawako brainwashed, watu walio na uelewa,na kuthamini utu wao–haziwezi kuruhusu huu upuuzi.
wazima wapenzi, huyu binti ukimuona tu unahisi kuchanganyikiwa maana anaonekana lazima ataharibu tu, anaonekana (ANAKAUPROSTITUTE), anaweza akatoka wa kwanza kwenye jumba lile.(I DONT BELV… HER KABISAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Kama maoni yangu yangekuwa yanamfikia, I would beg her to be focused basi, kwa sababu for now anaonekana ana papara na hana msimamo na hajui anataka nini. Whenever I watch BBA III, I crosses my fingers na kujisemea…Mungu wangu sijui atafanya nini cha ajabu leo?!!!
Anyways wapendwa, we seems to be concerned, lakini hamna kinachoweza kubadilika kwa sasa, already she is in the house! And everybody who watch BBA III, when you speak of TZ basi wanamuona bibie, tunalo? Wenye lugha yao wanasema ‘we are caught by the……’
Ila laiti BBA III wangetusaidia hizo hela kwa ajili ya kutengeneza barabara ya kuingilia uswahilini kwetu mbona wangekuwa wametuokoa! Mmh hapa lazima watu waniambie niende Wizara ya miundo mbinu….Jamani ni dreamz tu….
Watu jamani acheni wivu, huyo binti anacheza tu mchezo, kumbukeni kuwa its a Game, and she is there to win the money . So kama hakuvutii then just change the chanel, no one is forsing you to watch it. Maneno mengine mnayoandika ni machafu, je nyie mnafundisha nini jamii? Kumbukeni kuwa LATOYA ana WAZAZI!!!!!!!!!!!!!
Mmmmmmmmmm watu kwa kujadili na kuwatolea wenzenu maamuzi hamjambo!
Hivi kama kila mtu angeishi kulingana na mashauri wanayowapa wengine si Bongo yetu ingekuwa tambararee?
Tupunguze kuchonga jamani na tuwape watu nafasi na pumzi ya kuishi wapendavyo hata kama hatutaki. Tuzuie kulaani na kuwatolea wenzetu hukumu kwani hakuna mwenye dhamani hiyo hapa duniani.
Bora watu wapewe live wakome kuchonga chonga hasa wale wanaoamini wachaggaa ooooooooooo wachovu oneni live basi! Haaaaaaaaaaaaa mpaka ashinde au atolewe kwenye hilo jumba kuna watu zitawatoka nyongo hapa. Mimi simo kila kitu kwangu mswano tuu ni aina ya mchezo!
jamani watanzania tutaacha kufanya makosa mpaka lini ,huyu latoya si mtanzania ni mkenya mbona watu tunamjua.
kwenye miss tanzania nia pia yule nasreen mama yake ni mkikuyu wa kenya na baba yake anatoka morogoro, kwahiyo hata sio mtu wa mwanza kama watu wa mwanza wanavyofikiria.
mwakilishi wa mkoa wa mwanza halisi alikuwa ni angella lubala kwasababu baba yake na mama yake wote ni wasukuma wa mwanza.
lakini mbali ya yote turudi kwa latoya,tafadhali naomba watu mfatilie hili,tumechemsha jamani huyu baba yake ni mkenya na mama ni mchaga.lakini kwa baba siku zote ndio kwenye nguvu.
silumbani na mtu yoyote kwani huwo ndiop ukweli
Retistuta, shame on you! kwanini kuprint uongo, kama jambo hulijui si uulize upatiwe majibu. Nyie ndo wale wanga wa mchana lo, huna hata aibu? Asante sana Mama wa Kichagga, msapotini mshiki o Mashati Rombo….! Baba Mrombo na Mama( Marehemu for more than 10yrs) Mmarangu. Mi naangalia maoni wa Nnchi zingiwe na wanafagilia Latoya vizuri tu, acheni wivu jamani….! Yaani Wananchi wenzake ndo mnamwangusha….! si mngeenda nyie mnajua basi au watanzania original? kwani fomu za appl si zilikuwapo multchoise? Mbona hamkuzichukua kama nyie ni Malaika?
Na wewe mzalendo nenda zako,unajifanya unamjua sana latoya,na sisi tuna mjua vilevile ndio maana tumechangia maoni.
Halafu mkiwa mnachangia hoja please andikeni majina yenu halisi kama tunavyofanya sisi.
sio unakosoa watu tu huku una jiita mzalendo.weka wazi jina lako kusudi hata huyo latoya ajue kama kuna mtu anajifanya anamjua saaaana.