Wanawake Safarini Hawajui Kukataa Wakitongozwa , Kabla Hata Hamjafika Kitu Mchelemchele
Yaani ni mchele mchele ukikaa naye siti moja katika basi moja kwa safari ndefu ya kutoka dar kwenda kwa mfano Mbeya, Bukoba, Mwanza nk, Ikitokea Umemtongoza tu kabla hata hamjafika morogoro tayari kitu kimeshaeleweka, ila tu jiandae kubeba jukumu la kumnunulia "tuvyakula" njiani...Kuna Jamaa Alishawahi kutuandikia na Tukapost hapa kuwa alimtongoza demu kwenye basi na akala mzigo siti za nyuma za basi ..Je Kuna Ukweli Juu ya Hili ...Please Leave Your Comment