MHE. MAGUFULI AONGOZA KWA ASILIMIA 87 YA KURA ZA MKUTANO MKUU
MATOKEO ya kura za wagombea wa Mkutano Mkuu uliokutana jana usiku ni: Mhe. John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Salum Ali 10% na Dk. Asha-Rose Migiro 3%. Kwa sasa wajumbe wa Mkutano Mkuu wanaingia ukumbini ili kuendelea na kikao chao kilichoahirishwa jana na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
No comments:
Post a Comment