Cyberplc Limited na HiPipo (U) Limited wametoa ripoti ya mwaka kuhusu brands za Afrika Mashariki zinazofanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii.
Ripoti hiyo iitwayo ‘Maximising Value of Web, Mobile Status, Insights and
Expert Adviceand Social Media Investment’, ni sehemu ya ‘Digital Impact Awards Africa (DIAA).
Hivi ni vyombo vya habari 10 vya Afrika Mashariki vinavyofanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii.