Kundi la uchekeshaji la Orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi wasanii wake nyumba saba zenye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo kila nyumba moja ilinunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni 120.
Kundi hilo limeweka picha za nyumba hizo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika:
“ItsOfficialNw Bwn Mseli Abdallah-Planning & Investment Manager wa NSSF akimkabidhi @jotimdebwedo Joti funguo ya nyumba yake mpya kati ya nyumba 7 zilizonunuliwa na @orijinokomedi toka mradi wa NSSF kwaajili ya wasanii wake. Kila nyumba ina thamani ya zaidi ya Tsh 120M.