MAADILI YA MTANZANIA YANAPOROMOKO.
WANAWAKE watu wazima'Miji Mama' mwishoni
mwa wiki iliyopita ilimwaga radhi hadharani eneo la Msamvu Magodolo
jirani na kiwanda cha Komoa.
Miji Mama hiyo ambayo baadhi ya wake za watu walifanya uchafu huo kwenye sherehe ya kumtoa mtoto wa rafiki yao'Arobaini'.
Wanawake hao wambao wana kikundi cha kusaidia kwenye shida na raha walifanya sindano hilo kwa kuvua nguo.