Mshiriki wa kike wa Tanzania, Laveda, juzi alitolewa
rasmi katika jumba la big Brother Africa na kuifanya Tanzania kubaki na mshiriki mmoja tu ambaye ni Idris.
Pamoja na kutoka akiwa na skendo ya kupiga punyeto mbele ya wenzake, Laveda amesema hakuna anachojutia kwa muda wote aliokaa katika jumba hilo .
“Oh trust me when I say this, I would not change anything! I leaved, I breathed, I showcased who I really am and I cannot change that. I was being me 100% so if I did anything to offend Africa I apologise for that, but that is just purely who I am and it gets very tricky when that is captured on camera 24/7,” alijibu Laveda alipoulizwa na Mtandao wa Channel24 wa Afrika Kusini kama kuna kitu ambacho anatamani angekibadilisha.
Kutokana na maoni mbalimbali ya wasomaji wetu wanaolifutilia shindano hili toka nchi mbali mbali za Africa kupitia www.bigbrotherafricans.com, upo ushahidi kwamba kitendo cha Laveda kupiga punyeto mbele ya wenzake kiliwachukiza wengi na hivyo kutaka aondolewe.
Tangu kufanyika kwa tukio hilo usiku wa Ijumaa, waafrika wengi hasa wanawake walionesha kukerwa na kitendo hicho wakisema ni cha kudhalilisha, hivyo ni bora Laveda atolewe ili akaendelee kupiga punyeto akiwa chumbani kuliko vile anavyopiga punyeto mbele ya wazazi wake na wadogo zake.
Yafuatayo ni baadhi ya maoni ya wasomaji wetu waliyoyatoa muda mfupi baada ya taarifa za Laveda kuwekwa hadharani.
Baada ya kugundua kuwa Africa nzima imemchukia Laveda, Tuliamua kuandika habari ya kumtetea kwa kile alichokifanya.
Habari hiyo iliwekwa katika mtando huu wa MPEKUZI. Hata hivyo, ni habari ambayo haikuonyesha kuzaa matunda kama ilivyokusudiwa kutokana na ukweli kwamba Mpekuzi inawasomaji wengi sana wa Tanzania tofauti na ilivyo www. bigbrotherafricans.com ambayo inasomwa Africa nzima.
Tunakutakia Maisha mema Laveda, kukosea ni kujifunza.Hakuna aliye mnyoofu na ndo maana penseli ikawekewa Kifutio.

No comments:
Post a Comment