
Linah na dancers wake


Wakazi wa Iringa usiku wa September 19 walipata burudani ya shangwe
za Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika viwanja vya Samora mjini
humo. Jionee picha za show hiyo.

Madee aka Rais wa Manzeshe akitumbuiza

Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakiimbia kwa hisia hit yao ‘Me and You’

Mshindi wa super diva mkoani Iringa ambaye ni mlemavu wa macho

Makomando wakipiga salute

Linah akijiachia jukwaani

Juma Nature aka Kibra

Backstage: Linah, Juma Nature, Vanessa Mdee na Adam Mchomvu

Backstage: Linah na Edo Boy

Ommy Dimpoz, B12, Linah na wasanii wengine wakiwa jukwaani

Juma Nature na wasanii wenzake wa TMK Halisi wakifanya mambo

Mzee wa Hisia: Afande Sele akitumbuiza

Afande akiimba kwa hisia kali

Baba Levo

Peter Msechu


Godzilla aka Zizi

Adam Mchomvu na Godzilla

Me and You: Vanessa na Ommy Dimpoz

Ommy Dimpoz

Dogo Janja

Madee na vijana wa Tiptop Connection

Madee

Young Killer na hype man wake

Kabayser

Vanessa Mdee akiwa na dancers wake





Wasanii wote walipanda jukwaani kuonesha upendo wakati Juma Nature alipokuwa akifunga show

B12


Nickson George

Mo Music

Barakah Da Prince









No comments:
Post a Comment