![]() |
| Hawa ndiyo majaji wa Dance La Fiesta 2014 Mwanza, kutoka kushoto ni Producer D. Classic, Adam Mchomvu, Dickson George aka Lugha Kali na mkali toka EX studio. |
![]() |
| Wadau waliojitokeza kutia macho kinyang'anyiro cha Dance La Fiesta kilichofanyika jana Club Jembe jijini Mwanza. |
![]() |
| Dj K-Flip toka Club Jembe akitoa ushirikiano. |
![]() |
| Wow...Mashabiki wakiwa na kiu ya kujua nani mkali. |
![]() |
| Shangwe kwa kizuri kinapofanyika. |
![]() |
| Tanicando wakifanya yao ndani ya shindano la Dance la Fiesta 2014 mkoa wa Mwanza ambapo wakali hawa waliinyakua nafasi ya pili. |
![]() |
| Young Kids toka mitaa ya Uhuru Kati. |
![]() |
| Max toka kwa majaji. |
![]() |
| The area. |
![]() |
| Tanicando wakiwasikiliza majaji na pointi zao. |
![]() |
| Jaji namba moja Adam Mchovu (C) akitoa maksi kwa washiriki. |
![]() |
| The area. |
![]() |
| Mapozi mengine dah...hii kweli yaitwa iga ufe. |
![]() |
| Pembe tano. |
![]() |
| AAAaaaU!! |
![]() |
| Wakijadili yao Dj Fetty (L) na Dickson George aka Lugha Kali. |
![]() |
| Wakiyainjoy waadhari ya Jembe Beach kutoka kushoto ni Producer Lolly Pop na kulia ni prizenta wa Passion Fm Philbert Kabago. |
![]() |
| Wasanii wa Rock City wakishow love na G. Sengo Blog. |
![]() |
| The Thing....!! |
![]() |
| 'Vitu vya Michael Jackson' |

























No comments:
Post a Comment