button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Monday, September 29, 2014

DIAMOND NOMAAA KAMKABIDHI WEMA SEPETU ZAWADI YA GARI MBILI BMW NA NISSAN MORANO KAMA ZAWADI YA BIRTHDAY YAKE


na hiki ndicho alichokisema mwanadada zamaradi kuhusiana na zawadi hiyo BIRTHDAY YA MWAKA!!!!!!!!! Hizi ndio
zawadi kubwa alizopata WEMA leo.... NISSAN MURRANO na BMW moja kali hatari NYEUPE!!!! Asante mmanyema mwenzangu @diamondplatnumz umefunga watu midomo kudaadeki!!!! Hiyo nyeusi hapo ndio zawadi aliyotoa Diamond kwenda kwa @wemasepetu na zaidi alieleta Kukabidhi ni MAMA DIAMOND!!! how sweeeeeet..... haya sijui jipya lipi tena hapa la kuongea!!! 
Utaniazimaga kamoja wema niwe nacruise nipumzishe kidogo kibenzi changu.. lol #kidding HAPPY BIRTHDAY MY DARLING!!!!!!! Unastahili kila kitu!!!repost