Msanii wa muziki nchini Cassim Mganga ambaye kwa sasa yupo nchini
Marekani amepata nafasi ya kutoa burudani ndani ya ubalozi ya Tanzania
nchini Marekani huku waziri wa maliasili na utalii, Lazaro Nyalandu
pamoja na balozi wa Tanzania, Bi Ribelata Mulamula wakihudhuria.
Waziri Nyalandu (kulia)Kassim Mganga (katikati) pamoja na balozi wa Tanzania Marekani mama Ribelata Mulamula
“Asante mama Ribelata Mulamula ,balozi wa Tanzania Marekani,asante
Muheshimu Razalo Nyalandu..it waz big thing….pamoja
tumefanikisha..Tanzania mbele daima,” ameandika Cassim kwenye ukurasa
wake wa Facebook.
No comments:
Post a Comment