Kabla ya kupatikana mshindi wa Redd’s Miss Tanzania 2014,Sitti Mtemvu wadau mbalimbali waliohudhuria tukio hilo lilikofanyika katika ukumbi wa Mlimani City walitapa nafasi ya kupiga picha katika zuria jekundu. Katika show hiyo ambayo kila mdau aliyepata nafafi ya kuhudhuria alionyesha uwezo wake katika mavazi hali iliyoifanya sherere hiyo kufana kutokana na ushondani wa kuvaa. Tazama picha.
Ommy Dimpoz na Msami