Ni Jambo la Ajabu Kila Mtu alijiuliza
huyu Mwanamke
Ameingiaje Kwenye Chemba Hiyo , Tukio hilo limetokea Mjini Lagos Siku ya Ijumaa...
Inasemekana Mwanamke huyo alisikika akipiga kelele kutoka kwenye chemba hiyo ambayo ilikuwa haina sehemu ya kutokea bali matundu madogo ya kutolea maji na uchafu ...Watu walioshuhudia tukio hilo walibaki na maswali ameingiaje humo na wakati hakuna sehemu ya kuingia...ili kumtoa ilibidi wananchi watafute vifaa vya kukatia chuma ili kukata mifuniko ya chemba kumtoa..
Alivyotoka alisema meneno haya ,Jina langu ni Amudat Jimoh :
"Ni mungu ndio ameniweka huko kwenye chemba ili nitubu madhambi yangu nisije kufa...nahitaji maji ya kunywa tafadhali..Please help me.."

No comments:
Post a Comment