Nicki Minaj alipanda jukwaani kutumbuiza “Flawless (Remix)” na Beyoncé kwa mara ya kwanza live. Show hiyo ilirekodiwa kwaajili ya kuoneshwa kwenye HBO special, Jumamosi ya September 20.
Inasemekana kuwa wawili hao wanashoot video ya wimbo huo jijini Paris. Itazame video ya show hiyo hapo chini, utaipenda.
No comments:
Post a Comment