Rapper M-Rap Lion amesema kuwa kutokana na hali halisi ya sasa ya
vijana kujiingiza kwenye mapenzi katika umri mdogo, yeye akiwa kama
mfano kwa mashabiki wake ameamua kuachana kabisa na maswala ya mapenzi.
M-Rap ameiambia Enewz ya Eatv kuwa, amechukua uamuzi huu kutokana na
ukweli kuwa kwa sasa anaamini hakuna mapenzi ya ukweli, na kwa nafasi
kama yake wasichana wamekuwa wakivutiwa zaidi na jina lake kuliko
mapenzi ya kweli.
No comments:
Post a Comment