button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Monday, November 3, 2014

Kijana wa CCM inayesemakana Kampiga Waziri Mkuu Mstafu Mzee Warioba na Chupa ya Maji leo Ubungo

Jambo la aibu na la kufedhehesha sana limetokea leo katika mdahalo uliondaliwa na taasisi ya mwalimu Nyerere,Ubungo. Katika mdahalo huo , vijana ambao mpaka sasa hawajafahamika walisisima gafla wote kwa pamoja wakiwa na mabango yanayopigia debe katiba inayopendekezwa na gafla fujo kubwa zikaibuka na watu kuanza kupigana. 

Kada wa CCM bwana Paul Makonda, pichani, inasemekana
alimpiga Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Mzee Joseph Sinde Walioba kwa chupa ya maji. Hili ni jambo la kwanza la aibu ya aina yake kutokea nchini kwa  kijana mdogo kumpiga waziri mkuu wa nchi na chupa ya maji. Tunatumai vyombo vya sheria vitachunguza tukio hili na kuwachukulia hatu vijana wote waliohusika katika fedheha hii.

No comments: