button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Monday, November 3, 2014

INASEMEKANA: Vurugu Alizoletewa Mh. J.Sinde Warioba ni Mpango wa Chama Tawala?

Kwa Mwananchi wa Kawaida kama mimi na wewe unataka tupewe nini tuweze kujua kwamba vurugu alizoletewa Mh. J.Sinde Warioba ni mpango wa Chama Tawala?. Ni wazi hao ndiyo
waliokuwa wanapinga rasimu ya pili, hao ndiyo waliondaa Katiba wanayodhani itawafaa wananchi, Wao ndiyo waliokuwa wakimtolea lugha za kashfa na matusi paispo kukanywa kwenye Bunge la Katiba. Tunachosahau kama watanzania ni Maadili. J. SInde Warioba ni Mwananchi na ana haki ya kutoa maoni kulingana na katiba inayopendekezwa. Tatizo ni kwamba Chama Tawala wanasahau kwamba taaluma si siasa na hivyo watashindwa kuendesha Taifa kama wataendelea kufanya vioja hivi.

Baba mdogo: nilidhani huu uhuni ungelifanywa tu na vijana wachanga wa siasa..kumbe hata sisi? Huyu mzee si alikuwa waziri mkuu anaestahili ulinzi? Hata kama amekosea si tuna taratibu zetu za kistaarabu?.. tumekuwa maskini hoja kiasi hiki? Msiyachukulie poa yaliyotokea bukinabe! Nitastaajabu sana kama hutawachukulia hatua hawa watu.

No comments: