button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Wednesday, October 8, 2014

Wimbo wa Nicki Minaj ‘Anaconda’ wafika Platinum

Nicki Minaj ameendelea kusheherekea mafanikio ya single yake mpya ya ‘Anaconda’ ambayo hivi sasa imefanikiwa kufikia mauzo ya Platinum nchini Marekani.
nicki minaj
Kupitia Instagram Nicki amashare habari hiyo na
mashabiki wake wapatao 9,630,191 jana kwa kupost cover ya album hiyo na kuandika, “Just released on UK iTunes and is now certified #Platinum in America #Anaconda #PolowDaDon #DaInternz @bigjuice205 on the boards baby!!!!!!”
Video yenye ‘utata’ ya wimbo huo iliyotoka August pia ilifanikiwa kuvunja rekodi ya kupata views nyingi Vevo, kwa kupata clicks milioni 19.6 ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa. Hadi sasa ina views 237,272,613.
Album mpya ya Minaj iitwayo ‘The Pink Print’ inatarajiwa kutoka November 24, 2014.