Nimegundua Jk ni rais ambaye hakika Watz
hatutomsahau na hatupaswi kumsahau, ametoa uhuru hata wa kumtukana
akakaa kimya,wa kumshinikiza na bado akawa calm,wa kujaribu kuichezea na
kuijaribu serikali yake na bado akakuvumilia. Neno moja kwenu nyie
vibaraka wa wasaka U-rais, wafanyabiashara madalali na wengine wenye
kariba ya kutotaka kuona mwenzio anaweka historia ya kuitumikia nchi
yake kwa mafanikio makubwa,wakati Rais Kikwete anaingia madarakan ni
asilimia 6 wa wananchi wote walokuwa wanapata umeme,leo hii Watz
asilimia 35 wanaaccess na umeme hasa vijijini, barabara za rami
ameongeza kwa asilimia 25 network ya barabara za rami, huduma za afya
karibu kila kijiji kina zahanati na kila kata kuna kituo cha afya na
mengine mengi, juzi nimepata kusikia tunafanya vizuri katika kupambana
na rushwa. Ila siwalaumu sana ila ndo tulivyo na itabaki kama challenge
kwa rais ajaye, ila kwa ufupi serikali hii imejitahidi sana tena sana
but one word kwenu vibaraka, mipango yenu na mabeberu wa magharibi
inajulikana na mtashindwa
No comments:
Post a Comment