button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Friday, October 31, 2014

Mwanaume Atiwa Mbaroni baada ya kukutwa akifanya Mapenzi na Kondoo



Mtu mmoja mkazi  wa  Kiamaina, Nakuru amekamatwa na kufikishwa kituo cha Polisi baada ya kukutwa
akifanya mapenzi na kondoo. 
 
Mtu huyo aliyetambulika kwa jina la John Chege mwenye umri wa miaka 27, ambaye ni fundi wa kukarabati mabomba ya maji katika eneo hilo amekiri kufanya kosa hilo japo amelalamika kuwa mama yake mzazi amehusika kumuandalia mtego wa kumkamata akifanya kitendo hicho kwa lengo la kumuaibisha.
 
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa watu walioshuhudia kitendo hicho wamesema mtu huyo alitumia dawa za kulevya kabla ya kufanya kitendo hicho.
 
Kamanda wa Polisi  Moses Lekakeny amesema mtuhumiwa huyo atafanyiwa uchunguzi wa kina na upelelezi ukikamilika atafikishwa mahakamani.

No comments: