button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Sunday, September 28, 2014

HAWA NDIO WATOTO WA MARAISI AMBAO NI WAREMBO KUPINDUKIA....TAZAMA PICHA HAPA




AngePaul Kagame
Ni binti wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Alizaliwa mwaka 1989. Kwenye mitandao amekuwa akisifiwa kuwa ni ndiye
binti mrembo kuliko wengine.

Diana Karuguire Museven

SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika mitandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti


Faith Sakwe Jonathan
Huyu ni mtoto wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan. Amefunga ndoa Aprili, mwaka huu. Naye anatajwa na mitandao kwamba ni mrembo.

Nyepudzayi Bona Mugabe
Ana miaka 24. Ni binti wa Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Ni binti aliyetikisa mitandaoni kutokana na mambombalimbali ya kijamii. Amefunga ndoa hivi karibuni
Sifa Joseph Kabila
Amezaliwa mwaka 2001, baba yake ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila. Anatajwa kuwa binti mtulivu na msikivu.


Ngina Uhuru Kenyatta
Mwaka huu amekamata wa 23, baba yake ni Rais wa Kenya, Uhuru Jomo Kenyatta. Mitandao inamtaja kwamba ana mvuto, pia anaongoza kwa kuwa na marafiki wengi wa kike.
Stella Mutale Sata
Baba yake ni Rais wa Zambia, Mutale Sata. Binti mwenyewe yupo poa sana kwa sasa ana miaka 20 tu.


Ni binti wa Rais wa Uganda, Joel Kaguta Museven. Amefunga ndoa. Mitandao inamtaja ni binti alyetulia ndiyo maana akapigwa jicho na mwanaume na kufunga ndoa