button

anim

Tally

advert2

security

Advert

Advert
Advert

babu

babu
leokwetu

mochrispoadver

pub

pub

flashplayer

Saturday, August 30, 2014

M-Rap adai hataki kujiingiza katika mapenzi

Rapper M-Rap Lion amesema kuwa kutokana na hali halisi ya sasa ya vijana kujiingiza kwenye mapenzi katika umri mdogo, yeye akiwa kama mfano kwa mashabiki wake ameamua kuachana kabisa na maswala ya mapenzi.
m,rap

M-Rap ameiambia Enewz ya Eatv kuwa, amechukua uamuzi huu kutokana na ukweli kuwa kwa sasa anaamini hakuna mapenzi ya ukweli, na kwa nafasi kama yake wasichana wamekuwa wakivutiwa zaidi na jina lake kuliko mapenzi ya kweli.

No comments: