Nicki Minaj ameendelea kusheherekea mafanikio ya single yake mpya ya ‘Anaconda’ ambayo hivi sasa imefanikiwa kufikia mauzo ya Platinum nchini Marekani.
Kupitia Instagram Nicki amashare habari hiyo na
mashabiki wake wapatao 9,630,191 jana kwa kupost cover ya album hiyo na kuandika, “Just released on UK iTunes and is now certified #Platinum in America #Anaconda #PolowDaDon #DaInternz @bigjuice205 on the boards baby!!!!!!”

Video yenye ‘utata’ ya wimbo huo iliyotoka August pia ilifanikiwa kuvunja rekodi ya kupata views nyingi Vevo, kwa kupata clicks milioni 19.6 ndani ya saa 24 toka ilipoachiwa. Hadi sasa ina views 237,272,613.
Album mpya ya Minaj iitwayo ‘The Pink Print’ inatarajiwa kutoka November 24, 2014.