Kuna tetesi kuwa Wema Sepetu na Diamond Platnumz hawapo tena pamoja.
Magazeti ya udaku yameandika kuwa Diamond anataka kuoa.. lakini mwanamke
anayetaka kumuoa si Wema, ni Meninah! Hatujaweza kuthibitisha ukweli wa
tetesi hizo lakini kuna dalili nyingi kuwa hakuna amani tena paradiso.
Tetesi za kuvunjika kwa power couple hiyo ya Bongo, zimechochewa
zaidi na post ya mafumbo ya Wema Sepetu kwenye Instagram. Katika post
hiyo, Wema ameweka picha yenye
rangi nyekundu pekee yake na kuandika ‘I
shouldve known’.
Picha hiyo imezua maswali mengi kwa followers wake zaidi ya 211,133 kwenye mtandao huo unaopendwa Tanzania.
Haya ni baadhi ya maoni:
modestae68
@wemasepetu haya mbwa mwitu huyoooo katoka hakuna cha princess
sasha,superstar wala ile filam uliyosema unacheza kama mgonjwa wa kansa
ukanyoa kipara yaani naumia kuona hivyo wema vp? Acha mambo ya kugawa
pesa majukwaani sio wote wanaokushangilia unapopanda ktk majukwaa
wengine wanakuzomea hukui? Acha kulewa sifa za team za kukusifia kila
ufanyalo yaani sijui niseme nn nikiona wenzio wanavyosonga mbele naumia
alafu wewe unaonyesha ufahari majukwaani mmmh kweli hakuna kizuri
kinachokosa kasoro haya watakaonitukana poa tu lkn mm wema ni kama mdogo
wangu nampenda sana ndio maana namwambia sasa wale waliozoea kutukana
tukaneni mpaka mchoke lkn nyie nyie mlikuwa mnasema ktk kampen ya bring
our wema hivyo sitoshangaa.mm nitaongea mpaka siku nikiona mabadiliko
nafikiri ndio siku nitakayoridhika japo ni kwa faida yake na siyo yangu
ila sio mbaya kumwambia mtu kitu chenye faida kwake hata kama huna faida
nacho.am still love u wema.
mwelumwikya
I saw this coming @wemasepetu you are a beautiful girl with brains you should not worry at all he is only 25
patrarobert
sitaki kuamini kuwa uko kwenye majuto…na hasa kama majuto yenyewe
yanahusiana na mahusiano yako ya kimapenzi….bt kama ndivyo;kwanza
pole…kila kitu knatokea kwasababu…angalia ulipojkwaa,nyanyuka futa
vumbi…anza upya…Kama n jambo lingine…do the same:ILA U BETTER START
LIVING…START ACTING LIKE A LADY…kila mtu ana kasoro zake…n kweli ila
zako znaonekana zaidi kwa sababu u r on spotlight…na kwasababu u r an
attention seeker…achana na hayo mambo wema…sitaki kuamini kuwa wewe n
sikio la kufa…tuko wengi yametukuta mengi sababu ya kutosikiliza
wazazi…kusema tu “nampenda mama angu,she z my everything”bila kumtii na
kufuata maagizo yake n bure…na AMINI kuwa u wont rest mpaka ukianza
kumtii mzazi wako…kama ni huyo diamond atakusumbua mpaka uchanganyikiwe
kwasababu huo uhusiano hauna baraka za mama ako…unaweza ona kama
kakuruhusu…inabidi akuache ufanye utakalo ili dunia
ikufundishe…HUJACHELEWA… @wemasepetu @wemasepetu
callyrissanen
Sijui unachokiongelea kama ni majuto au surprise nzuri. Cha muhimu
nakwambia kama dada mkubwa lol, acha starehe za kugawa pesa kwenye
kadamnasi. Wekeza hizo pesa uende vacation hata hapo PARIS TUU wewe na
umpendaye, sio lazima awe baby yako chibu. Weka pesa na ujijengee tabia
ya kutoka outings za kwenda kwenye hotel nzuri kula chakula kizuri wewe
na familia yako au mtu umpendaye, sio lazima awe baby yako Chibu. Weka
pesa nenda gym kujikeep busy angalau mara 3 kwa wiki, sio lazima na baby
yako chibu kwani utapata personal trainer. Weka pesa na acha
kuwanufaisha hao wacheza show kwani ukifulia watapata maneno ya kutungia
wimbo. Take care and remember that;this too shall pass!!
magz_16
You all need to leave these two have fun and enjoy each other as it
lasts.Diamond is still a young boy…!!!How old is he again!!!Hes got a
looong way to go as a man.@wemasepetu ….if i were you..i would just
focus more on making money and building my future!!Build a house…be a
business woman…date real men that will not be intimidated to help me
rise up there….I would make money more than even Diamond himself…I would
rise like i have never before..and why?coz i carry a powerful name…iam
beautiful..and Educated too.I wouldnt go clubbing splashing money on
artists..i will go out there make money than all my exes…and my current
boyfriend.I would make sure…east Africa knows who # Wema..as a
Brand..and not just as diamond girlfriend.I wish you all the best
sweetie….stay Focus
Unahisi anajuta kurudiana na Diamond na huenda wakawa wameachana kweli? Tupia maoni yako