Baada ya wiki iliyopita Idris Sultan kutajwa kuwa mmoja wa wawakilishi wa Tanzania kwenye shindano Big Brother Africa, mwakilishi wa pili ametajwa. Mwakilishi huyo ni Irene Laveda.
“Bubbly Tanzanian Laveda tells us her alter-ego is a go-getter. Her personal motto is to “live everyday like it were it is your last.,” imeandikwa kwenye
website ya BBA. Bofya hapa kutazama akiongea.
website ya BBA. Bofya hapa kutazama akiongea.
Wengine waliotajwa leo ni pamoja na Kacey Moore wa Ghana na JJ wa Zimbabwe.