'Booty’ ya Jennifer Lopez imemchanganya P. Diddy licha ya kuwa aliwahi kuwa mmiliki miaka kadhaa iliyopita.
“Oh my God! Oh my God!” ndio yalikuwa maneno ya kwanza kutoka kwa Diddy baada ya kuwekewa video ya J.Lo na Iggy Azalea ‘Booty’ alipokuwa kwenye
mahojiano na Access Hollywood Live.
mahojiano na Access Hollywood Live.
Diddy ambaye kwa sasa anatoka na Cassie hakusita kumsifia J.Lo aliyewahi kuwa mpenzi wake kwa miaka miwili kuanzia 1999, na kusema kuwa ana bahati kuwahi kuwa naye.
“I am so lucky to have that great woman in my history. She is one of the greatest I’ve ever seen. Go girl! Go girl!”
Alipoulizwa kama sifa hizo zina maana yoyote ya kutamani kurudiana nae, Diddy alisema kuwa hana mpango wowote wa kurudiana na Lopez lakini ni marafiki wazuri.“She’s a great friend of mine, always will be my friend, and I mean that thing is just incredible.”