Hitmaker wa ‘Skelewu’ Davido wa Nigeria anatarajia kuja nchini Tanzania kwa mara nyingine tena.
Mwaka jana msanii huyo alikuwa miongoni mwa
wasanii waliotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta, jijini Dar es Salaam.
wasanii waliotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta, jijini Dar es Salaam.
Hata hivyo haijaweza kujulikana mapema iwapo atakuwepo pia kwenye Fiesta ya Dar mwaka huu. Kuna tetesi zingine kuwa kituo kingine kikubwa cha redio cha Dar ndicho kinamleta.
“Paris was great next stops!! LONDON-LAGOS-WARRI-SOUTH AFRICA-NAMIBIA-TANZANIA Lego,” ameandika staa huyo kwenye Instagram.